Inspirational
Personal Experience
EL NIÑO: TUSIIONE MVUA KAMA JANGA PEKEE, TUIONE PIA KAMA FURSA YA KUONGEZA UZALISHAJI WA CHAKULA
EL NIÑO: TUSIIONE MVUA KAMA JANGA PEKEE, TUIONE PIA KAMA FURSA YA KUONGEZA UZALISHAJI WA CHAKULANa mwandishi wetu slavic mayengela
Not the end, just a new beginning.
Swali hilo linaweza kubadilisha kabisa mtazamo wa mkulima kutoka mwathirika wa hali ya hewa kuwa mzalishaji anayepanga kulingana na hali ya hewa.
MPANGO WA MWAKA WA MKULIMA: HIKI NDICHO KINACHOHITAJIKA
Kila mkulima anayelima mahindi au mpunga anapaswa kuanza kuwa na karatasi au daftari la mpango wa uzalishaji wa mwaka.
Kwa mfano:
Eneo: Ekari 10
Zao: Mahindi
Lengo la uzalishaji: Tani ___
Mbegu: ___ kg
Mbolea: ___ kg
Muda wa kupanda: ___
Gharama zote: Shilingi ___
Muda wa kuvuna: ___
Mahali pa kuhifadhi: ___
Soko linalolengwa: ___
Huo ndio mwanzo wa kubadili kilimo kutoka shughuli ya kutegemea bahati kuwa biashara inayopangwa.
Kwa upande wa serikali, maafisa ugani wanaweza kusaidia wakulima kutafsiri taarifa za hali ya hewa kuwa hatua za vitendo shambani. TMA tayari ina huduma za hali ya hewa kilimo zinazolenga kuwasaidia wakulima kupanga shughuli zao kulingana na hali ya hewa

This page is empty.
Comments 0
eacher | 🌱 Farmer | ✊ Activist 📚 Educating minds | 🌾 Growing food 🌍 Advocating for positive change 🇹🇿 Tanzania
Author
View profile